kwa wanakwaya wote wa USCF-UKWAVITA wa mwaka wa pili na wa tatu ya kuwa Ratiba ya kwaya wiki itakuwa kama ifuatavyo
IJUMAA SAA 11:30 JIONI
JUMAMOSI ITAKUWA SAA 8:30 MCHANA
MAZOEZI YOTE YATAFANYIKA TTC-ROOM 7
Hivyo wanakwaya wote mnaombwa kuhudhuria bila kukosa kwenye vipindi hivi vya kwaya
JACKSON MESHACK
KATIBU-USCF (UKWAVITA) AMUCTA
KWA NIABA YA VIONGOZI WA KWAYA